Monday, 12 July 2010

KingBida

Jiunge na other funs wa K'Bida


Alizaliwa mwanza geita mnamo mwaka 1978, mama yake mzazi Erica Mrecha hakumbuki tarehe bali anakumbuka siku ilikuwa ni ijumaa tarehe za mwisho wa mwezi wa pili. Hivyo Bida ambaye ni John Sway ila hupenda kulitumia jina la baba yake wa kambo Mrecha, aliamua kunyoosha kalenda kwa kurudi nyuma mpaka moja wapo ilipo dondokea tarehe 23 ndipo akajibatiza hii siku kama siku yake ya kuzaliwa .na hupendelea sana kusherehekea kila ijumaa kwamaana hataki bathday yake impite.

Alikosa jina la pili kutokana na ubatizo wake kudondokea alipokuwa amelazwa hospitali ya muimbili mnamo mika ya kati 80s ndipo alipo dondokea kubakiwa na jina la kuzaliwa John, ilihali ana litumia jina lake la kwenye steji Bida kama jinalake la pili.

akiwa na umri wa miaka miwili kutokana na wazazi wake kuto elewana juu yakuendelea kuwa pamoja ilibidi apelekwe kwa bibi yake mzaa mama marangu. huku nako mambo hayakuwa poa baada ya vurumai ya babu mzaa mamayake kumkosa kosa kumuua bibi yake , ilibidi wote wafungashe virago na kuamia Dar kwa kaka yake na BiBi[.damares John]


Schoolograpy
kwa kupitia sytem ile ile sijui tuiite ya kikoloni, vusha mkono kichwani ushike sikio, Bida alifanikiwa kuingia shuleni akiwa na umri mdogo sana kitu ambacho marehem bibi yake alikiitaji ili aweze kuendelea na kazi yake katika kiwanda cha chikuku darbrew.ilihali wakipalangfana na new life indar es salaam.

KingBida tokea shuleni alisha onyesha uwezo mkubwa wa kuelimika, IQ na saikolojia yakutosha, ila hali ngum ya uchumi na kukosekana kwa shule za awali za vipaji maalum kulisababisha abakie shule ya msingi changanyikeni mpaka kuhitimu kwake.Alipata nafasi za hapa na pale za kuendelea na masomo alipo kuwa dar lakini street life, night life city life ilikuwa imesha mpigia cross , hivyo ikawa ni vigum sana kwa yeye kuepuka maisha ya kihusla. shule ya sekondari ya NIT hakufanikiwa kumaliza mwaka, na alipo amishiwa makurumla mwenbechai, baada ya mika miwili ndipo familia ilipojua kumbe darasani huyu mtu kakanyaka mara mbili tu , mja ya kufungua shule last time kufunga shule na the following yeat ilikuwa ni too late kumrudisha shuleni kwamana ulikua ni msimu wa kufunga tena shule.


Ndipo alipo amishiwa namanga secondari bording na kumalizia elim yake ya sekondari.akiwa ametua shuleni kama form three asie jua hata bibi kwa kiingereza inaitwaje 1996 bida alijua mwenyewe na msaada wa walim , na kwa muda mfupi lugha , ikawa imesha lala, chemisty na masomo kadha wa kadha.ila hakuwa na baati kwamaana hapa ndipo alipo anza kuichezea milango ya rumande na hatimaye kuufanyia mtihani wa national GCSE akiwa ana escotiwa na maaskari wenye mitutu mpaka chumba cha mitihani na kurudishwa lupango.
mpaka mwishowe alipohitimu masomo nakubakia lupango akipigania kesi yake


alibahatika kuchagua kusomea utalii , na ndipo alipo jiunga na chuo cha professional tour guide mjini arusha,. alipo futa sylubus za miaka miwili ndani ya miezi sita nakupiga pepa akafaulu nakuingia mtaani akipalangania real Life kama anavyo itafsiri yeye mwenyewe The Real African Hip-Hop

http://www.reverbnation.com/artist/song_details/4465319?play_now=true  

Discography/utunduograpy/kesiography
Music ography
Lifeography

biography
ana watoto kama saba ingawa ambaye anamlea kwa sasa ni damares john ambaye ni mrisi wa jina la marehem bibi yake mlezi.
ameoa na kumuacha muingereza anita mcbride

http://www.youtube.com/watch?v=MgmgFpCEUVQ&feature=related

sikiliza big summer hapo juu